Suala la kuniibia nilisamehe ila dhamira ya kuniibia ndio iliyoniumiza, kila siku najiuliza nilimkosea nini?Pole sana kwa mafadhaiko uliyokuwa nayo kipindi hicho.... Ila naamini kwa sasa yameisha, kikubwa kinachokusumbua ni kutokusahau hilo tukio...
Si unisamehe mazima!Kuna mdogo wangu huwa najiuliza kama ni kweli nimemsamehe au la maana mapenzi niliyokuwa naye kwake yamepukutika kabisa hata nikijitahidi nashindwa
Ni kweli mkuu umejuaje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbe ndio wewe. Ila yule mjinga mjinga sidhani kama anaweza hata kutumia JfSi unisamehe mazima!
Alikuwa anaishi kwetu, tena kitu alichoniibia niliweka chumbani kwa wazazi akaingia kufukunyua lohNimehisi tu kuwa si wakuzaliwa nae kutokana na maelezo yako..
Kuna mawili
1: Ulikuwa ukiishi kwao
2: Alikuwa akiishi kwenu
Alikuwa anakupima imani, aone reaction yako endapo ungegundua wizi wake... Thanks to God ulikuwa mvumilivu...
Suala la kuniibia nilisamehe ila dhamira ya kuniibia ndio iliyoniumiza, kila siku najiuliza nilimkosea nini?
Alikuwa anaishi kwetu, tena kitu alichoniibia niliweka chumbani kwa wazazi akaingia kufukunyua loh
Busara ulizotumia kumsamehe baada ya kugundua kwamba alikuibia hizo ndio zitumie kusamehe dhamira yake na usahau kuhusu hilo maishani mwako...
Sawa utasema hamchukii... Lakini kinyongo ulichonacho moyoni mwako juu ya dhamira yake, inajenga kero, hasira na maudhi juu yake, inapelekea kuwa na chuki juu yake moyoni mwako...
Je unapenda kumchukia mtu kwa kosa lake la ubinafsi wake...??
Sikumuambia wala kumuonya chochote maana tunavyotafuta nae alikuwa anaona. Mtu mwenyewe tunalingana tu hata sio mdogo wa kusema nitamuonyaBaada ya kugundua, ulimfuata na kumueleza ukweli na kumuonya...
Kwa kweli najitahidi sana, lakini pia najiuliza ni mambo mangapi ameyafanya kwa lengo la kunikomoa? Mbaya zaidi nilikuwa namuona bonge la mtu, hata mama alivyoniambia hii kitu atakuwa ameiba H nilimkatalia katakata kwa jinsi alivyokuwa anaonekana mtaratibu kumbe mwenye mtoto wake anamjua. Hivi juzi nilikuwa naongea na mama akanipa simu niongee na wifi, nimemaliza nae ananiambia wifi H yupo hapa msalimie nikamwambia sina salio, msinikaushe uzazi.
Ahahaha Asante sana Kosa la wizi binafsi nachukulia kama Kosa dogo sana..Huyo si mdogo wako wa kuzaliwa nae bila shaka...
Basi ni ulimbukeni wa maisha tu ndio ulikuwa unamsumbua.... Huenda yeye aliona unapendwa zaidi, akajawa na wivu.. akaona akifanya hivyo atakuharibia... au pia ilikuwa ni tabia yake aliyoizoea.... Jaribu kusahau hilo,Sikumuambia wala kumuonya chochote maana tunavyotafuta nae alikuwa anaona. Mtu mwenyewe tunalingana tu hata sio mdogo wa kusema nitamuonya
Amen mkuuAisee ni hatari sana...
Lakini haijalishi mangapi amekufanyia, yale uliyoyajua na ambayo hukuyajua...
Moyo wako unathamani kubwa sana kwako... Hilo jambo kuendelea kuwepo moyoni mwako, linaziba nafasi ya jambo lingine ambalo ni muhimu sana katika maisha yako kuwepo ndani ya moyo wako...
Acha liende, litoe moyoni mwako ili uruhusu jambo lingine muhimu...
Upe thamani moyo wako...
Bila shaka comment yangu hujasomaAhahaha Asante sana Kosa la wizi binafsi nachukulia kama Kosa dogo sana..
Nimemsamehe ila haiwezekani kurudi kama zamaniBasi ni ulimbukeni wa maisha tu ndio ulikuwa unamsumbua.... Huenda yeye aliona unapendwa zaidi, akajawa na wivu.. akaona akifanya hivyo atakuharibia... au pia ilikuwa ni tabia yake aliyoizoea.... Jaribu kusahau hilo,
Ndio maana sikuquote comment yakoBila shaka comment yangu hujasoma
Lakini umetoa maoni ya comment yanguNdio maana sikuquote comment yako
Hapana nimetolea maoni kwenye Oni la MshikajiLakini umetoa maoni ya comment yangu