Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

naombeni msaada nataka kujua nimepangiwa wapi my name emmanuel mwambelo kwa wale wa saut na udsm
 
Ugumu unakuja pale anapoapply chuo ambacho hakimuakodeti kwa maana ya kutokuwa na sifa mtu ana 2.5 au 3.0 afu alikuwa h kunani kwenyeguidebook wameandika watu ambao wanasifa za kusoma hapo kwanini aliomba udsm

so bro Lino,naiyo equivalent yake awezi kuambulia kitu apo UDOM?nimwambie ajiandae kuvuna mabua sio???au watalam mnasemaje??
 
Ndugu mimi nilijaribu siku 5 zilizopita ilikuwa haiwezekani,Na nilipojaribu jana na leo ile sehemu ya kulog haionekani
 
Hapana acende kuvuna mabua. Asubil dk ya mwisho frm tcu. Final aproval
 
so bro Lino,naiyo equivalent yake awezi kuambulia kitu apo UDOM?nimwambie ajiandae kuvuna mabua sio???au watalam mnasemaje??

Aisee huyu Wa equivalent ana vigezo aendelee kuwa na subira
 
Hapana acende kuvuna mabua. Asubil dk ya mwisho frm tcu. Final aproval

kweli unajua kutia moyo,mm nime muambia ahaze kufikiri plan B,kama vp afanye direct aplication kwenye vyuo,ila anasema wakati akijiunga mwanzo aliambiwa you have meet minimum qualification,na jina alijatoka kwa waliokosa ata mara moja,au TCU waliamua kumpotezea???gd9t all
 
Jamani nimesikia tarifa zisizo rasm kwamba idadi ya walioomba kusoma vyuo vikuu ni ndgo kuliko nafasi zilipo! Hili lina mashiko?
Pili, kwa wale ambao wamekua selected by tcu lkn mbk sasa vyuo vyote vimewatema inakuaje?
Tatu, mbna kwenye guide book tcu wamesema baadh ya vyuo BA ed mf teku idadi ni km buku hv inakuwaje nimechek leo teku selected hata 600 hawafik kwa ba ed? Tafadhar ufafanuz,
nne, wanatcu nijuze juu ya hii pia final approval ndo nini hasa maana yake.
 
nafasi ni nyingi kuliko waombaji ndio sababu mwaka wetu wamedunda weng
 
Du majanga wengi ndo km hvo wameambiwa yes each chois na mfano hkl E tatu na s ya gs na hawakuwepo 2nd na 3rd round. Du ngja wakuu watatujuza juu ya hl. Ucfe moyo mungu ni mwema waliomba chuo mwaka huu ni chache kuliko kuliko nafasi zilizopo. Mfano imagine kuna nafasi ya watu elf 98 walomaliza form six mwaka huu 44elf. Walopata div1_3 ni elf32 na co wote wameomba. So kuna 20elf kwa ajir ya diploma km we ni mwana mahesab utagundua kua kuna watu km 40elf wanahtajka facult zp ndo cjui. Umenipata mzee..
Source ni moe na nk.
 
anapata bila matatizo yeyote mwambie achague bachelor of edn ktk chuo ambacho kinanafac atapata tu wamechaguliwa watu wana 3 ya 16 yaan EE mbili sembuse yeye bhana
 
Alisha aply vyuo vine vimemtema bdo chois yake ya kwanza st john yeye ana hkl E 3 na s ya gs. Tafadhar mshaulini mana presha inapanda na kushuka.
 
nilikuwa napita tu .. ile, wenye E wanawezaje kuivishwa wakawa madaktari, wahandisi, wanauchumi, waalimu ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…