Tatizo ni kwamba sometimes unafanya biashara na Wazingu online, wengine hawataki hata kusikia Western Union, anakupa option ya kulipa uchague, Paypal au Payoneer?Kwa nini msitumie BankABC wa hapahapa bongo.? Mbona wana hizo huduma zote mnazozisema.?
Payoneer Card ni tofauti na hizo za Bank ambazo wadau wamechangia hapo juu, ni kwamba mtu anaweza kukuingizia pesa kwenye account yako ya Payoneer then unaweza kui withdraw kupitia ATM zinazo accept Master card worldwide.
Kama Account yako ya Payoneer Iko na pesa, unaweza kununua bidhaa au kulipia huduma kwenye websites mbalimbali Kama Amazon, Alibaba, Upwork n.k!
Ukifatilia mjadala toka mwanzo, utaelewa kwa haraka!
Upo sawa, ndo nikakuambia Wazungu wengi wanaonunua bidhaa hasa toka Africa kwa aina ya bidhaa nazouza hataki kusikia issue ya Kutuma pesa direct kwa Bank, ukifatilia issue za PayPal ndo utajiuliza kwa nini Wabongo wanung'unike kwa Bank zetu/Serikali kutokubari Paypal wakati Kuna njia nyingine? Jibu Ni kuwa most of the time Clients wetu anakupa option hizo mbili Tu, huwa wanahisi more secure kutumia PayPal au Payoneer na mifumo aina hiyo!Mkuu siyo kwamba sijaelewa point yako. Point yako naielewa sana, na mimi nimekueleza hicho unachokifuata payoneer, unaweza kukipata toka BankABC. Nikakutolea na mfano kabisa kuwa nishawahi kuingiziwa pesa toka nje katika kadi yangu ya BankABC na siyo mara moja bari zaidi ya mara 10.
Ila nikataka jua tuu nikiwa na hiyo payoneer card nawezaje kujaza pesa.?
Bado hii haiwezikuwa kuwa general solution kwavile itategemea na client unayefanya nae kazi. Kwa mfano kwangu mimi haiwezi kuwa solution kwa sababu ninaofanya nao kazi tayari wanazo payment processors ambazo wanazi-accept lakini VISA card sio one of them.Mimi nishawahi kupokelea malipo na hii kadi, Na si mara moja. Kuna malipo huwa natumiwagwa kwa hii kadi, Na huwa yanatumia 48 Hours ya siku za kazi mpaka kuwa reflected katika account yangu toka nitumiwe, Hili nina ushahidi nalo 100% . Ingawaje Wahudumu na wafanyakazi wengi wa hii bank hawajui kama kitu hiki kinawezekana. Kwani ukiwauliza kuhusu hili swala jibu lao wanakwambia ni either sifahamu ama wanakujibu kuwa haina uwezo. Mimi nilijua hili jambo katika try and error, Nikajikuta imekubali. Since then mpaka sasa nimekuwa nikiitumia. Na pia ndo kadi ninayoitumia kufanyia malipo online.
Inategemea... na payment processors zote zipo hivyo! Tofauti kuu kati ya hiyo BancABC na Payoneer ni moja!Mkuu siyo kwamba sijaelewa point yako. Point yako naielewa sana, na mimi nimekueleza hicho unachokifuata payoneer, unaweza kukipata toka BankABC. Nikakutolea na mfano kabisa kuwa nishawahi kuingiziwa pesa toka nje katika kadi yangu ya BankABC na siyo mara moja bari zaidi ya mara 10.
Ila nikataka jua tuu nikiwa na hiyo payoneer card nawezaje kujaza pesa.?
Mrejesho!
Leo nimefanikiwa Ku withdraw pesa toka kwa ATM machine, kwa Mara ya kwanza nikitumia Payoneer Mastercard, Withdraw fee Ni Kama $20, Na Payoneer Annual fee Ni 29.9 $..
So nafikiri wale wenzangu Na mm ambao tunategemea kuuza products zetu nje, tunaweza kutumia Payoneer Kama mbadala wa Paypal!
but pia unaweza Ku connect PayPal account yako Na Payoneer, Na Kama Client akikulipa kwa Paypal Una transfer hiyo pesa kwa Payoneer account, then easily unaenda Ku withdraw pesa kwa ATM, iwe upo Bongo au nje ya Bongo.
Vitendea kazi hivyo mkuu!
Mkuu, issue ni kwamba, sio tu kutumiwa pesa, issue ni kwamba unafanya biashara na Client na anachagua njia za kukulipa, ukimchagulia wewe biashara haiwezi kuwepo so hata hiyo fulsa ya kutumiwa pesa BankABC haitakuwepo! Sijui Kama unanielewa, mdau hapo juu pia kakueleza the same things.Mkuu, it worth trying BankABC. Kadi yao ni elfu 15 tuu. Kama mtu anaweza kukutumia pesa kwa master na ikaingia, naamini hata paypal unaweza hamishia pesa kwenda BankABC. Na cost zao ni ndogo almost no cost. Ni vile tuu sina anayenilipa kwa paypal, ningejaribu nikawaletea mrejesho hapa.
Mkuu nimevutiwa na hili naomba msaada wako kuna bidhaa nimeiona alibaba nataka inunua sasa sijui kwa kuanzia nipo tayari fungua iyo acc ya bancABCMimi sijasema kama nimewahi kupokea kupitia payoneer, Ambayo nimewahi kupokea nayo ni ya BankABC na nimetoa maelezo hapo juu. Nilichouliza hapo ni kuhusu kupokea malipo kupitia payoneer. Unaijazaje pesa hiyo kadi.?
Kuipata gharama yake ikoje na kuna usumbufu?Nimepata tayari leo hiyo card ya payoneer.
Labda utakua umekosea address, otherwise imepotelea ofisini, Kama huna uhakika Na address ya kutumia unaweza kutumia address ya mtu wako wa Karibu, au ukaenda office za Posta ukaomba kutumia address Yao then barua yako ikifika utaenda kuchukulia Posta Na kulipa pesa kidogo!Wakuu mimi mbkna sijapata yangu nilijaza january wakasema ntaipata mwez wa 3 tar 8 bad thing nilikua porini na location nliotumia niyaofisi nnayofanyia kazi ili ikija wanijulishe ila mpk ss hv sijapata msaada kwa anaejua
Njia ambazo Clients huchagua kulipa Mara nyingi PayPal ama Payoneer, coz zinawapa usalama wa Pesa zao Na Ni rahisi pesa zao kurudi Kama Kuna udanganyifu sehemu.Naona njia mzunguko , bora clients wakutumie moja moja kwenye account yako kupitia worldremit ambayo gharama nafuu kuliko western union.