kuna mtu yeyote anaweza kuniambia yupi ni baba na yupi ni mama kati ya maharusi hawa?

Cheki hii ndoa nayo! Dunia Imeshaisha!

 
Tumefika Mbali Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!


 

Wakuu hii kitu ni kweli au watu wameamua kutuzuga.
Nimezitazama hizi picha mara mbili lakini akili inakataa kabisa kuamini kwamba kuna uhalisia au ni fiction.

Mimi ni mpenzi mkubwa wa mchezo wa wrestling kuna baadhi ya matukio katika mchezo wa wrestling kama yangekuwa kweli tungekuwa tunazika kila siku.Akili yangu inakataakuamini uenda na hii ndoa ndiyo yale yale ya mchezo wa wrestling.
 


picha iko wapi mkuu
 

ni kweli mie niliisikia BBC nadhani ni jana ama juzi sikumbuki mambo mengi sio action kama za kina undertaker na Big show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…