Kuna Mtu yoyoyte yule Ajuaje Dawa ya kutibu Kansa ya mifupa?

Kuna Mtu yoyoyte yule Ajuaje Dawa ya kutibu Kansa ya mifupa?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Wakuu Wa JF kuna rafiki yangu ana mtoto wake wa Umri wa Miaka 7 anasumbuliwa na Kansa ya mifupa je Wadau Wa JF munaweza kunisaidia atumie dawa gani ili aweze kupona huyo mtoto wake?

Naombeni msaada wenu ndugu zangu Wana JF nitashukuruni kwa mawazo na msaada wenu ndugu zangu Wa Jf asanteni sana.
 
Back
Top Bottom