Kama unamfahamu vizuri Gwajima huwezi uliza hicho unachofikari, pitia historia yake na passion yake na utajua mabadiliko ni kiu yake ya muda mrefu mnoosio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Yamemfika shingoni au hanufaiki na huo mpango!sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Akunaga msukuma falaHuahaha huyu mtu anafanya nini huko nyuma ya Gwaji boy?
Mnataka kumsingizia ufedhuli wenu yule siyo chawa.
Bashite vipi?H
Akunaga msukuma fala
HATA YEYE SIYO FALABashite vipi?
Huyo mwamba habari zake anazo Makondasio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika,
Nani anampa kiburi mzee wa kawe?
kwenu jf great thinkers
Fanya home work yako ujue elimu yake, ila pia ni mtu wa Mungu na wengi walio nyuma yake ni Watanzania wa wa kawaida wasiopende utekajiana elimu gani?