Tetesi: Kuna muda umarufu na mafanikio vinaweza kuwa hasara

Tetesi: Kuna muda umarufu na mafanikio vinaweza kuwa hasara

mjukuum

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
5,258
Reaction score
2,842
Nlkichwa cha habari

Najiuliza umarufu unavyoweza kukupoteza ninayo makundi machache nawe unaweza ongeza Yale unayoyajua na umarufu umeyapoteza
Hard blastas
East coast
Tmk wanaume
Gheto boy
Daz nunda



Ninajiuliza kwa sauti kubwa kama wangeendelea na umoja wao leo hii wangekuwa umbali gani na mafanikio yao kama kundi yangekuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndio hivyo, ila ishu ya maslahi ndio inasababisha kuvunjika kwa haya makundi
 
Back
Top Bottom