Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!