NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 323
ww jamaa kila kona ya jukwaa upo kila thread upo, naona unautafuta umaarufu kwa nguvu zotePole sana mkuu, jaribu kubadili pozi ili usiumie zaidi ila huo uhusiano wa simu na tumbo mmh sijui inakuwaje...Labda wajuzi watuambie
Watu wengine bhana sasa bando si yake jamani anapangiwa na mtu , hizo ni chuki binafsi. Isitoshe nani atamfahamu kwa hizi id fake. Ngoja aje mwenyewe.ww jamaa kila kona ya jukwaa upo kila thread upo, naona unautafuta umaarufu kwa nguvu zote
Sasa mkuu kwani kuchangia mada husika ni vibaya?? Umaarufu ili iweje sasa... Na nani kakwambia kila thread nipo...??ww jamaa kila kona ya jukwaa upo kila thread upo, naona unautafuta umaarufu kwa nguvu zote
Mkuu inamuuma sana mimi kuwepo humu JF itakuwaWatu wengine bhana sasa bando si yake jamani anapangiwa na mtu , hizo ni chuki binafsi. Isitoshe nani atamfahamu kwa hizi id fake. Ngoja aje mwenyewe.
chuki za nini kwani namfaham?? ila nakereka tu kila kona upitapo tu upo tu hata kama mAda husika IPO nje ya uwezo wake atajitahid aweke hata kiDot ilimradi tuone tu kuwa kapita hapoWatu wengine bhana sasa bando si yake jamani anapangiwa na mtu , hizo ni chuki binafsi. Isitoshe nani atamfahamu kwa hizi id fake. Ngoja aje mwenyewe.
Kwa siku kuna thread kama 900+ eti upo kila thread aseeh!!..Sasa mkuu kwani kuchangia mada husika ni vibaya?? Umaarufu ili iweje sasa... Na nani kakwambia kila thread nipo...??
Joseverest nazani ni kifupi cha Joseph EVEREST mlima mrefu dunian kama sikosei acha kila sehemu aonekane hakuna anachopoteza mkuu..😀😀chuki za nini kwani namfaham?? ila nakereka tu kila kona upitapo tu upo tu hata kama mAda husika IPO nje ya uwezo wake atajitahid aweke hata kiDot ilimradi tuone tu kuwa kapita hapo
Jealous people never win!!!Mkuu inamuuma sana mimi kuwepo humu JF itakuwa
Yaani umeniwahi nilitaka kusema hivyo hivyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]ww jamaa kila kona ya jukwaa upo kila thread upo, naona unautafuta umaarufu kwa nguvu zote
Achana nao kila mtu na starehe zake hatupangiani. Nao pia kuna mahali huko waliko hawakosi kama si baa, hotelini , nyumba za kulala wageni, vijiweni, au kwa wanawake wazuri, au kupeleka umbea kwa mabosi haaaa.Sasa mkuu kwani kuchangia mada husika ni vibaya?? Umaarufu ili iweje sasa... Na nani kakwambia kila thread nipo...??
yaani kanakera kweli kweli yani nilivumilia mida mrefu bora niseme tu nikichukuliwa kuwa ninachuki binafsi Sawa tu, ila siyo kutujazia server kwa vicoment visivyoeleweka.Yaani umeniwahi nilitaka kusema hivyo hivyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haka kajamaa kamekuja speed kila uzi kapo nahisi ndo kamehitimu form 6 hivyo kanashinda sebuleni tu kanacheck tamthilia na kushinda Jf huku kakitumia bando la chuo.[emoji12]