kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
mzabzab huyo.Umekaa kwa wapi tajiri?
Sinywi pombe
Mwambie mama atuoe hela za mahari. Hizo million 5 goli la mama ziwe million tano goli la vijanaManyigu yanakusumbua...
Oeni vijana....
Kwa nini hutumii pombe tamu sanaSinywi pombe
Siipendi ni chunguKwa nini hutumii pombe tamu sana
ulishawahi kujaribu savannah?Siipendi ni chungu
Hapana..kwanza pombe ni dhambiulishawahi kujaribu savannah?