Kuna mwanachuo aliyewahi kupitia msukomsuko huu?

Kuna mwanachuo aliyewahi kupitia msukomsuko huu?

Princess Tee

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
60
Reaction score
18
Kama ilivyo ada, maombi ya chuo hufanya kupitia TCU. Umeomba kozi zako vizuri umeomba na mkopo pia loan board.
Mfano umeomba MD(udaktari) let say muhimbili ukapata na mkopo pia ukapata jina lako limetoka kwenye list ya wanafunzi waliokuwa admitted from TCU na waliopata mkopo. Unaenda chuo kwaajili ya admission wanakupa admission letter ya Bachelor science in Nursing, unauliza kulikoni wanakuambia nafasi za MD zimejaa. Utafanyaje?
Kuna mtu alishakumbana na kadhia ya namna hiyo na je ulifanyaje?
Au ukikutana na hali km hiyo utafanyaje maana kuna baadhi ya watu wameenda kureport baadhi ya vyuo wamekutana na hali hiyo huku tetesi zikidai kwamba TCU inapangia wanafunzi idadi kubwa kupita uwezo wa chuo so inabidi wawapangie kozi nyingine zinazoendana kiasi na kozi walizopangiwa na TCU.
 
Unaniumza kwa hayo maneno kaka mpk now sjapata usajili 7babu ni hyo.
 
Duh, ni ngumu sana kuchange, inategemea na chuo chenyewe! Bora hiyo, kuna mtu aliendaga chuo amepangiwa B.Masscommunication, kufika kule wakamwambia aanzie cheti, so nature ya chuo pia inadetermine kutatua tatizo lako, cha msingi komaa na uongozi wa hapo, TCU wont help U, wao washamaliza kazi..
 
daaaah, me nkajua TCU wanaweza kusaidia since wao ndo wanaregulate everything. Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom