Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
subiri mkuu utaingiziwa yote mawili kwa pamoja, usiwe na harakaNdugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.
So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.
Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.
Karibuni

Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.
So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.
Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.
Karibuni
Dah sis tulio kosa pote pote tusemeje mkuu ???
We mpaka sasa account yako umekuta ujumbe gani..?Umejuaje kwamba umekosa?
Tunasota tuLeteni mrejesho wadau.. Mambo yamesoma huko vyuoni..?
Wale wa Batch 4 Appeal
Mkuu we uko chuo gani..?
Mkuu, kwani boom limetoka?Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.
So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.
Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.
Karibuni
Mshukuru Mungu kwani amekuepisha na janga ambalo lingekukabili wakati wa kulipa.Dah sis tulio kosa pote pote tusemeje mkuu ???
Tushukuru Mungu kwa kila Jambo[emoji16]Dah sis tulio kosa pote pote tusemeje mkuu ???
hongera sana mkuu kama umekua allocated....utapata tyuu sema kwa kuchelewaaaNdugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.