Kuna mwanamke akimaliza kusex anaumia tumbo nini dawa ya hili

Ngoja saa 10:00 ipite kwanza ila kwa kifupi wataalam wanasema sababu ni ngoma ndefu inapiga mpaka kwenye kitovu kie kie kie kie
 
je linamtokea mara kwa mara....?
 
Mashine kubwa hiyo!!! ivalishwe pete!!! utaua mkuu au kumsababishia ugumba!!!
 
Kama anaumwa baada ya sex na kutokwa damu bas aende hospital aangalie shingo ya uzazi. Ni mojawapo ya dalili kuu ya cancer ya shingo ya uzazi(cervical cancer).
 
Ngoja waje wataalam hapa watuambie indeep...
 
Wataalamu amesema akafanyiwe PAP smear test hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…