Kuna mwanamke au mwanaume yeyote alowahi pata mchumba kwa kupitia safu hii?

Kuna mwanamke au mwanaume yeyote alowahi pata mchumba kwa kupitia safu hii?

Shori

Senior Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
146
Reaction score
25
Jamani kuna mtu alowah jipatia mchumba hapa au ndo twaishia kupachka matangazo.
 
Jamani kuna mtu alowah jipatia mchumba hapa au ndo twaishia kupachka matangazo.

Kuna baadhi nilishawahi kuona threads zao wakitoa shukrani kwenye jamvi hili kwa kupata wenza, ila nadhani ni bahati sana kumpata mtu hapa, maana kunawengine tulipost threads humu za kutafuta wenza, ila naona tumeambulia patupu. Lakini nadhani kila mtu na bahati yake pia.
 
Humu chenga hamna lolote! zaidi utaona wanakujibu "ngoja niku-pm sasa hv" afu hakuna anaku-pm! Uki-pm yeye hajibu tena

Hahahaaa.... Vipi ndugu, yameshakukuta nini..??
 
Mmh kiukweli wengi wanakwaruana kuliko kufikia hatua ile ya uchumba. lakini kuna namna ambvyo tunapaswa kuiweka hii ikawa njia nzuri ajili ya hilo, kule kwa bwana zuma kuna redio flan ina hizi miting za vijana kiukweli ndoa nyingi sana zimetokea pale na wenye nia wanakutanishwa na watu wakati ule tulie nda kula wali. ila hapa sijui kuna pepo gani, wadau tubadilike.
 
i dought kama watu wanapata wachumba/wake/waume...maana m'ke akipost anatafuta mume baaaaaaaaas kosa kubwa watu watamdhihaki weeeeee, au m'me akipost anatafuta mke, mara ohh hamna mke humu,unataka kugegeda...chamsingi watu waache mautani, wengine wako serious nyumli zimekwenda afu siunajua ukijaribu njia zote the hard way is one of the way and the only way.
 
Mmh kiukweli wengi wanakwaruana kuliko kufikia hatua ile ya uchumba. lakini kuna namna ambvyo tunapaswa kuiweka hii ikawa njia nzuri ajili ya hilo, kule kwa bwana zuma kuna redio flan ina hizi miting za vijana kiukweli ndoa nyingi sana zimetokea pale na wenye nia wanakutanishwa na watu wakati ule tulie nda kula wali. ila hapa sijui kuna pepo gani, wadau tubadilike.

hapa wengi wanao pm niwatoto au awajitambui utoto mwingi au kasumba zao.
 
YES, KUNA WALIOPO SERIOUS, me nishakutana na aliyekuwa serious na tukaanza mahusiano but niliofia kumuumiza na kuharibu plan zake coz me sikuwa serious!!
 
YES, KUNA WALIOPO SERIOUS, me nishakutana na aliyekuwa serious na tukaanza mahusiano but niliofia kumuumiza na kuharibu plan zake coz me sikuwa serious!!

kwa nini ulimtia matumaini mwenzio? japo ni vyema ulijishtukia na kufanya la maana.
ila ndio hivyo tena sidhani kama huyo binti atawaamini tena wengine watakaomtokea hapa jf.
 
Id zenyewe feki!Unafikiri tunaogopa nini?Kuchorwa tu!
 
Mayasa njoo utoe ushahidi....mguu juu ya heater lelylaan unahusika hapa
 
Back
Top Bottom