Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Ndo mara ya kwanza yy kupendwaaa au

Mmeshachat huko pm mmeamua kuja kuanzisha uzi huku atafurah kwa sababu mmeshapanga

Sawa ninawaandalia keki mkishatajana mlishane mambo yaishe
Duuh hili povu litakuwa la dawa ya meno, hasa colgate
 
Sasa wengine wanakera. Mtu bora aje akushauri inbox ila anajitia humu ye ndo ana haki ya kuandika kuhusu kitu fulani wengine hawatakiwi.
Haa haa haaa maybe anaandika
Public Kwa faida ya wote

Hyo inaiita kukomoana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…