Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiokotwa ununio wewe ubaki unakula ugali?
Tutamuimbia nyimbo za mapambio na sifa🤣Akiokotwa ununio wewe ubaki unakula ugali?
Ila Lissu anaweza akipata fursa. Naamini Lissu ndio mwanasiasa pekee asiekuwa na unafiki wa kutukuza visivyostahiki kutukuzwa.Kwa maneno hayohayo, akitokea mtu akayatafasiri kwa kiswahili alafu amwambie muhusika.... hakika huyo mtu lazima ataishia shimo la yewa..😜
Unaongelea hawa chawa wa kijani walio mpa Rais mali na utukufu wote wa nchi!? Hawa hawana maana kabisa hawa wanafuga wezi na wala rushwa tu