Kuna mwanasiasa Tanzania wa kuweza kumkabili Rais kama hivi?

Kwa maneno hayohayo, akitokea mtu akayatafasiri kwa kiswahili alafu amwambie muhusika.... hakika huyo mtu lazima ataishia shimo la tewa..😜
 
Utatekwa, utateswa na watakuua.
Huku wakilisifu jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…