Si unajua raia mpya๐๐๐Amekamia sana kuonesha ubora wake kwa pupa. Atulie aache papara.
Mchezaji mzuri haitakiwi umuangalie mpaka mechi kumi. Angalia Samatta EPL walimpa mechi ngapi wakaamua kusema hawana nia naye.Ni kweli Simba hatuna uvumilivu kwa mambo ambayo ni wazi yanaenda ndivyo sivyo.
Bado sijapata wasaa wa kutosha kumuangalia huyu mchezaji,, hata wachezaji wengine wapya.
Kwasasa siwezi sema chochote.
Hi ndilo la msingi kuliko yote.Ni kweli Simba hatuna uvumilivu kwa mambo ambayo ni wazi yanaenda ndivyo sivyo.
Bado sijapata wasaa wa kutosha kumuangalia huyu mchezaji,, hata wachezaji wengine wapya.
Kwasasa siwezi sema chochote.
Mchezaji wa ndondo alisajiriwa kwa faida zao akina momomo.Sijui kigezo kilichotumika kumleta huyu jamaa Sadio Kanoute.
Wengine watasema alikuwa kiungo bora kwenye mashindano ya CHAN 2019. Lakini huyu jamaa kifupi anachangia kuzamisha sana mtumbwi wa Simba ana bado wanalazamisha kumchezesha. Ni kiungo aiye na kasi na mpira, kumbuka kiungo mkabaji muhimu uwe na kasi kwa mpira wa kisasa.
Haya ndiyo niliyoyaina kwa Sadio Kanoute.
1. Yupo slow sana
2. Sio mzuri kwa mipira mirefu yaani kuhamisha timu.
3. Hana dribbling hawezi kuhold mpira hasa timu ikishambulia au kushambuliwa.
4. Hana commanding power kwa wachezaji wenzake , sio mtu anayeongea ni muda wote yupo kimyaa tu.
5. Passing accuracy yake ni mbovu, nilishuhudia kwenye mechi moja akipoteza pasi zaidi ya tano mfululizo.
Naombeni mnishawishi nimuelewe, mimi binafsi namuona ni mchezaji wa daraja la kawaida sana.
Miqquissone only one season ameonyesha,Hebu nisaidie ni mchezaji gani simba walimsaini na ghafla akafanya vizuri...
1. Emmanuel OkwiHebu nisaidie ni mchezaji gani simba walimsaini na ghafla akafanya vizuri...
Uwizi ,uwizi ,uwizi .Kwanini vilabu vyetu havitangazi gharama zilizotumika kusajili wachezaji, mikataba na mishahara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunamzungumzia Kanoute siyo mafanikio ya timu.Hi ndilo la msingi kuliko yote.
Watu wanataka mabadiliko ya ghafla...
Yaani mashabiki uvumilivu unawshinda.
Umeanza lini kua mshabiki wa simba?Miqquissone only one season ameonyesha,
Rally bwallya..
BM3..
Aishi Manula..
Kapombe..
Bocco..
Nyoni..
Chama used 2 months to prove his performance..
The rests are amusements [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Upepo umepita sasa nyeti za bata zinaonekana.Wanasimba tulieni achane pupa...
Wachezaji wote ni wazuri...
Mnaona mabaya tu kwasabu team haiparform...
Mwakajana hakuna aliye ona udhaifu wa Mugaru ila now kila mnaona...so kuweni na subira..
Mambo yanakuja...
Yanga isiwape presha ni team ya kawaida sana.
Acha uongo mkuu Emanuel Okwi msimu wake wa kwanza alistruggle sana.1. Emmanuel Okwi
2. Onyango
3. Amisi Tambwe
4. Manula
5.Mafisango (RIP)
nk kibaoo
Umeanza kufatilia simba mwaka gani?
Mamluki wakubet hawa sio mashabikiMmeanza,mashabiki wa simba hawana uvumilivu,bado kidogo mtangโoa viti
Kwa maelezo ni kama umemtazama kwenye mechi 1 au2mzuri kwenye safu zipi ? usiandike kwa ujumla.
mechi zaidi ya tano .Kwa maelezo ni kama umemtazama kwenye mechi 1 au2
Mkuu usiniambie kuwa shabiki wa Simba lazima usifie hii migara iliyoletwa na akina Magori. Haya nimabie huyu jamaa ni mzuri kwa kitu gani? Au unadhani kiungo kazi yake ni kuzuia na mirafuu tu.Hivi huwa unaangalia mpira?
Mechi inachezwa unaona ni kanuote na Inonga tu ndio wanaocheza mpira ( mfano dhidi ya polisi).
Kiungo kwenye double pivot unataka awe na kasi aipeleke wapi ya kazi gani?
Huoni kuwa ikitakiwa kudribble anafanya hivyo vizuri kabisa?
Eti mkimya, ulitaka awaje sasa? Awe anapayuka kifaransa humo si watu watamuona chizi.
Alafu unajipambanua kama shabiki wa Simba, Simba ipi unayoshabikia wewe?
Mkuu....Mkuu usiniambie kuwa shabiki wa Simba lazima usifie hii migara iliyoletwa na akina Magori. Haya nimabie huyu jamaa ni mzuri kwa kitu gani? Au unadhani kiungo kazi yake ni kuzuia na mirafuu tu.