Kuna mwenye blog or website anaekunja 1 million kwa mwezi?? au ni fantasie tu ninazo

1 tu, wapo wanaopiga dola elf 2 (shilingi milioni 5) na wachache wanaofumua mpaka dola elf 8+ , ni hapa hapa bongo, kimya kimya style

2020 rafiki yangu anafanyia kazi benki aliwahi kuniambia hizi ishu ila nilimbishia, kuna dogo nilimuunganisha field hio benki ila jiji lingine na yeye akaniambia hii ishu ikabidi nilipe uzito, ilibidi nishuhudie mwenyewe, niliambiwa niende tarehe 22 na 23 ndio tarehe zao za malipo kutoka google, aisee !! kuna vijana wadogo wanapaki ndinga zao wanaingia kutoa dola 500 hadi elf 2 western union nawashuhudia laivu, wale wanaopiga dola zaidi hawatolei dirishani wanaingiziwa moja kwa moja kwenye account zao,

nilijaribu kuchimba chimba nikaja gundua wana blogs za xxx, ni hawa mnaowaona wanashare link za blog zao kwenye magroup ya fb, ukiminya unawaingizia dola.

Wale wenye blogs nyingine halali ni ngumu sana kufikia huko, wanaovuta milioni ni wa kuhesabu, wanacheza kwenye laki 3 hadi 7
 
kaka huu ushuhuda umenifungua macho aisee
 
Kwaiyo izo blog Tz wanawezaje kutoshikwa maana sheria ya bongo ni hatari
 
Back
Top Bottom