Kuna mwenye majina ya waliochaguliwa vyuo vya ufundi?

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Nauliza kama kuna mwenye majina ya waliochaguliwa vyuo vya ufundi hasa vya ualimu na vingine kama vipo na majina kama yapo kama vipi myaandike hapa hapa.
 
ndio yameshatoka pitia kwenye website yao ya wizara ya elimu utayakuta yapo
 
Hayajatengwa na wale wa advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…