Nimepita instagram nimekutana na hili tangazo,sasa nikataka kujua channel zipi zinapatikana kwenye hicho king'amuzi ndio akanitumia oradea yote ya hizo channel kama imabyoonekana.
Nikapiga picha nikaona mbona hili ni kama zogo la DStv??? Sasa huku tunaishi toauti hivyo labda mwenye uelewa au kufahamu na hata kutumia basi si mbaya nae alitupatia A B,C za hiki king'amuzi.