Habari wa jf
Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku.
Naomba mwenye uzoefu au kujua soko au fursa na kitu cha kufanya kupitia mabaki ya samaki.