Kuna mwizi hapa kwangu

Kuna mwizi hapa kwangu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Guys ase kuna mwizi hapa kwangu anazunguka nimejaribu kumfokea amenijia juu eti ananiambia tulia wewe mtoto wakiume uku anajaribu kufungua mlango nifanyeje na simu haina sms wala dakiki in bando tu [emoji24][emoji24][emoji24] majirani mwizi.
 
Inama, akikuona atakimbia. Atakosa hata hio shabaha. Na piga simu Polisi usipoteze data za wengine kwa kuzimisha zako 😂
Aisee hizi hela za mitandaoni 😂 😂
 
Inama, akikuona atakimbia. Atakosa hata hio shabaha. Na piga simu Polisi usipoteze data za wengine kwa kuzimisha zako [emoji23]
Aisee hizi hela za mitandaoni [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af ananifokea
 
991 and 112 Police
104 Ambulance
105 Fire
Namba zote ni bure kupiga
 
Back
Top Bottom