Kwa kweli naishiwa pozi nkitazama jinsi waalimu wanavyobabaika na ajira portal. Hebu wewe kama mzazi kaa chini tafakari kwani siyo kila kitu mwanao atapangiwa lazima aende. Kama umeridhia bas sawa 😹😹muandae mtoto kuingia kweny ukulima pia baada ya kumaliza chuo, huku akiendelea kujitolea na mtie moyo wa kuzunguka na vyeti kutafuta ajira serikalini🤜🤛