Kuna Mzee 1 Iv Aaliish Miaka Mingi

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Kuna mzee mmoja aliishi miaka mingi baada ya kujiona keshakua mzee akawaambia wanawe nitakapokufa mimi vunjeni hii nyumba nimeweka mali nyingi hapo chini

Baada ya kufa watoto walivunja ile nyumba na kukuta kasha

wakalifungua wakakuta karatasi imeandikwa kama nyinyi madume basi jengeni ya kwenu[emoji23][emoji23]

Hapo Ndio Mtakapo Jua Kwanin

Muuza Kahawa anatembea Na Vyombo Vya Moto Na Hana Lesen
 
Hahahaaaa...haya bana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…