Kuna namna Rage alikuwa sawa

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan

Leo baada wa Sudan [emoji1232] wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.

Ndiyo maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
 
Aahaaaaaa
 
Unamzungumzia huyu robo robo fc? Msimu huu ataishia raundi ya kwanza.
 
Aliyeelewa anitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…