Kuna baadhi ya Nchi mwaka huu zimeendelea kufanya kama zinavyofanya miaka yote.
Usalama wa chakula muhimu sana, wafanyabiashara wa hizo nchi wamepewa mabilioni ya pesa na tayari wamemwagika mashambani Tanzania na kuanza kununua mazao kwa kasi ya ajabu sana .
Mpunga na mahindi mwaka huu hayatoshuka sana bei kwani tayari huko mashambani ni kununua kwa kugombana sana.
Wanaingia wao wenyewe kwa mkulima na kununua na kusafirisha, Waziri wa kilimo angekua na akili hata kidogo angejifunza mwaka jana hali ilikuaje na kwa mwaka huu itakua zaidi ya mwaka jana.
Hakuna usalama wa nchi kama hakuna usalama wa chakula lazima viongozi mjifunze kudhibiti hali hiyo, mapema.