DOKEZO Kuna nchi zimewapa pesa wafanyabiashara wao wanunue vyakula Tanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Kuna baadhi ya Nchi mwaka huu zimeendelea kufanya kama zinavyofanya miaka yote.

Usalama wa chakula muhimu sana, wafanyabiashara wa hizo nchi wamepewa mabilioni ya pesa na tayari wamemwagika mashambani Tanzania na kuanza kununua mazao kwa kasi ya ajabu sana .

Mpunga na mahindi mwaka huu hayatoshuka sana bei kwani tayari huko mashambani ni kununua kwa kugombana sana.

Wanaingia wao wenyewe kwa mkulima na kununua na kusafirisha, Waziri wa kilimo angekua na akili hata kidogo angejifunza mwaka jana hali ilikuaje na kwa mwaka huu itakua zaidi ya mwaka jana.

Hakuna usalama wa nchi kama hakuna usalama wa chakula lazima viongozi mjifunze kudhibiti hali hiyo, mapema.
 
Nashauri Nchi nyingine nyingi zije kununua Chakula kwa wingi Tanzania kwani Chakula kilichopo ni kingi mno na bei ipo chini karibunii๐Ÿณ๏ธโ€๐ŸŒˆ๐Ÿณ๏ธโ€โšง๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡น๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฝ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฒ
 

Endelea kukaza shingo tu mchele mwaka huu utanunua 5000 kwa kilo moja
 
Nendeni mkalime... hayupo Fala wa kukulimia we ule Kwa bei unayotaka , nchi hii mapori kibao yamejaa mijusi tuu , watu wahangaika kuyaweka Sawa , alaf umpangie bei , kama nchi inauzwa na tumekaa kimya mkulima ndo mnataka kumrarua , acheni hizo
 
Umeyasikia ya Zambia lakini?
Tanzania sio Zambia,tukifingua mipaka Toka mwaka juzi mazao yakiwa hafifi sembuse mwaka huu ambao Yako mbwerere?

Zambia Wana shida zao nyingi sana,Nchi nyingi wakati zinazuia nafaka Tanzania haikuwahi kufanya huo ujinga..

Saa wewe jikalishe na likitambi.lako hapo utegemee Serikali itafungua mipaka ilimkuwakomoa wakulima wewe ununue bei unavyotaka..

Kwa taarifa Yako Hilo halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ