Jamani ndoa haina formula so hata mtu akikuelezea kisa cha namna fulani na jinsi alivyotatua inaweza isewe model/kanuni ambayo itaweza kutatua the same tatizo ukija kulipata. Mara nyingi swali kama lako watu wengi hawawezi kuwa tayari kukueleza exactly kisa ni ngumu kidogo, maana hata kama mtu hakujui kukueleza kisa bado kama mwanandoa hujisikii vizuri kulieleza tatizo lako unless unaeleza kwa mtu ambaye unataka akusaidie mawazo. But wanaokuambia ndoa ni kula bata tu wanakudanganya hiyo sio reality, ndoa lazima tu mpitie ups n downs no matter how you love each other, issue kubwa ni how you communicate kusolve tatizo linalowakabili