Kuna ndugu halafu kuna rafiki

Kuna ndugu halafu kuna rafiki

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kuna ndugu alafu kuna rafiki.

Rafiki ni mtu yule ambaye hata uwe na shida kiasi gani hachoki kukusaidia kwenye shida yoyote hata awe amekusaidia kiasi gani (huyu ndo true friend).

Kuna hawa ndugu wetu ambao hata uwe na shida gani wao wataona wewe ni mzigo kwako na kukutangaza pale unapo kuwa shida.

Nilicho kuja kujuwa rafiki ana nafasi muhimu kwenye maisha kuliko hata ndugu,mpenzi hata boy friend au girl friend.

Katika maisha bora kuwa na true friends ambao mtasaidia kwenye shida na raha usimsahau rafiki wa kweli pale unapo pata mafanikio yako siku zote jivunie uwepo wake katika maisha yako show love kwake nyakati zote zile.

1708421716541.jpg
 
Inategemea Ntu na Ntu.

KAMA UNAISHI NA NDUGU ZAKO KWA UPENDO NA KUJITOA SIDHANI KAMA WANAWEZA KUKUTUPA.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
KAZI YAKO NI KUPIGA VIZINGA NDUGUZO, WAKISEMA HAWANA UNAKUJA KUWANANGA HUKU MITANDAONI.
 
Inategemea Ntu na Ntu.

KAMA UNAISHI NA NDUGU ZAKO KWA UPENDO NA KUJITOA SIDHANI KAMA WANAWEZA KUKUTUPA.

PambanaZaidi/CottonandMore
Mkuu ndugu ata ufanyaje hua hakunaga kushukuru Tena usiombe siku huna kitu ndio utajua kama tambi ni chakula ama kamba ya kujinyongea.
 
Back
Top Bottom