Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mkuu ndugu ata ufanyaje hua hakunaga kushukuru Tena usiombe siku huna kitu ndio utajua kama tambi ni chakula ama kamba ya kujinyongea.Inategemea Ntu na Ntu.
KAMA UNAISHI NA NDUGU ZAKO KWA UPENDO NA KUJITOA SIDHANI KAMA WANAWEZA KUKUTUPA.
PambanaZaidi/CottonandMore
Kabisa mkuuNaungana namleta mada. Siku zote Ndugu ni wanafiki ila unaweza kubahatisha rafiki wa kweli Hadi unafurahia maisha