Kuna ndugu yangu anadai ana Kunguni masikioni msaada wenu

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,541
Reaction score
2,487
Habarini za humu natumai ni wazima...

Kuna ndugu yangu mmoja kaingiliwa na kunguni kwenye masikio toka mwaka jana anasema eti anasikia hao kunguni wakimuuma..

Je, kuna uwezekano wa kunguni kuishi katika masikio ya mtu kwa kipindi chote hicho pia ameshazunguka hosptali na hospital wanasema hamna chochote..

Kama kuna tiba au mtu kashapitia au kusikia Naombeni msaada
 
Duuh kunguni anaishi vip kwenye masikio ya mtu...?? Au ndo uchawi
 
Duuh kunguni anaishi vip kwenye masikio ya mtu...?? Au ndo uchawi

Ndo hapo tunahitaji msaada tushazunguka mahospitali wapi wanasema hamna kitu
 
Mminiemafuta ya nazi sikioni mpaka yajae. Kisha ayaache dakika tatu halafu ageuze sikio. Kama kuna mdudu yoyote atatoka.

Ameshaweka hadi mafuta ya kuku lakini wapi
 
Hospital kaenda ndo hivyo wanasema hamna kitu
Aende hospitali ingine aonane na "specialist" wa ENT.

Kabla ya kwenda mnyunyizie maji ya bangi matone mawili matatu. Kamua bangi mbichi.
 
Aende hospitali ingine aonane na "specialist" wa ENT.

Kabla ya kwenda mnyunyizie maji ya bangi matone mawili matatu. Kamua bangi mbichi.
Sasa hayo maji ya bangi,si ndo kumzidishia uwehu huyo kunguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…