Kuna nguvu gani?

Joined
Jun 17, 2019
Posts
47
Reaction score
49
Kuna uhusiano gan mwanaume akichepuka then akija kumshika mwanae mchanga inasemekana mtoto atachelewa kukua au wanaita kubemendwa..Je kuna uhusiano gan kati ya janaba na ukuaji wa mtoto?
 
Ficha ujinga wako..

Umefikiria kuhusu mwanaume aliyeoa wanawake wawili ?
 
Uongo tu wanatudanganya tusichepuke maboya tu hayo hayajui michepuko ni muhimu


Bia ni bora kuliko mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…