Kuna nguvu ya ziada Babu Talenti anaitumia sio bure kwa kweli.

Tale sio mtu mzuri....Ana tabia ya kujifanya mpole asie na hatia kumbe ni mzandiki mkubwa.

Sasa Ana kesi mahakamani ya kuwatapeli wale mashekh.
 
Ukitoa ngoma kali itahiti bila hata uchawi, hivi unawezaje kuizuia ngoma kama "subira" ya Kassim Mganga ft.Bella? Kassim tangu atoke kwa Tale anatoa ngoma kali na zinafanya vizuri, hata Z.Anto alipotoa Kisiwa cha malavidavi ilifanya poa kwa sababu ngoma ilikuwa kali lkn ngoma zilizofuata hamna kitu. Mb Dog wa Latifa sio huyu wa sasa hata sijui anaimba nini, hao akina Pingu na Deso walikuwa wabahatishaji tu, huyo PnC mbio za sasa hivi haziwezi kwanza sauti yake mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…