Kuna nini Bunda sekondari

Kuna nini Bunda sekondari

kasahunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
215
Reaction score
33
Nimeshangaa sana leo baada ya wageni kutoka TAMISEMI kufika katika shule ya sekondari BUNDA, kilichotokea ni mkuu wa shule kulazimisha mlizi kukata umeme ili wageni hao wasifanye kazi yao iliyowalete. hao ndo wakuu wa shule tulionao kama wanaweza kuzima umeme ili hawa wageni kutoka tamisemi washindwe kufanya kazi yao iliyowaleta. baya zaidi walikuwa wanasaidiana na slo wa wilaya ya buna. naomba kuwasilisha
 
nimeshangaa sana leo baada ya wageni kutoka TAMISEMI kufika katika shule ya sekondari BUNDA, kilichotokea ni mkuu wa shule kulazimisha mlizi kukata umeme ili wageni hao wasifanye kazi yao iliyowalete. hao ndo wakuu wa shule tulionao kama wanaweza kuzima umeme ili hawa wageni kutoka tamisemi washindwe kufanya kazi yao iliyowaleta. baya zaidi walikuwa wanasaidiana na slo wa wilaya ya buna. naomba kuwasilisha
haya hayakusu!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom