Kuna nini dini hizi mbili kung'ang'ania kuwa mtu wao ndiye aliyetolewa sadaka ya kuchinjwa?

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
wakati Waislamu wanadai nabii Ishmael ndiye aliyetolewa sadaka ya kuchinjwa na nabii Ibrahimu wakristo Kwa upande wao Isaka ndiye aliyetolewa kuchinjwa Kwa mujibu wa Biblia Takatifu.

Mvutano na utafauti wa Msahafu na Biblia juu ya nani alitolewa kuchinjwa una tija Gani Kwa waamini wa pande hizi za wakristo na Waislamu.
 
Hapo kuna Mwongo aliyeokoteza hadith na kuunga unga visa Ili ajinasibishe na familia isiyomhusu yaani mtoto wa nje ya ndoa na mwingine ni mtoto wa ahadi yaani mrithi halali huyo haramu anatafuta ushawishi kwa nguvu!
 
wakati Waislamu wanadai nabii Ishmael ndiye aliyetolewa sadaka ya kuchinjwa na nabii Ibrahimu wakristo Kwa upande wao Isaka ndiye aliyetolewa kuchinjwa Kwa mujibu wa Biblia Takatifu.

Mvutano na utafauti wa Msahafu na Biblia juu ya nani alitolewa kuchinjwa una tija Gani Kwa waamini wa pande hizi za wakristo na Waislamu.
Karibu pande hizi Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
P
 
Back
Top Bottom