Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Anafunga Ndoa
Alienda kufanya majaribio Sevilla.
Aisee!amesajiliwa PSG
Kaka nikija Mwanza lazma nikutafute, unanifurahisha sana na michango yako omera.Alienda kufanya majaribio Sevilla.
Usijali katibu mkuu.Kaka nikija Mwanza lazma nikutafute, unanifurahisha sana na michango yako omera.
We ndugu yangu, tushawahi badilishana baadhi ya nyimbo za kijaluo mkuu, na imani ushanitambua.Usijali katibu mkuu.
Karibu mkuu siyo katibu mkuu.We ndugu yangu, tushawahi badilishana baadhi ya nyimbo za kijaluo mkuu, na imani ushanitambua.
Sina kumbukumbu nzuri kwenye eneo hilo mkuu.We ndugu yangu, tushawahi badilishana baadhi ya nyimbo za kijaluo mkuu, na imani ushanitambua.
Pamoja sana mkuuKaribu mkuu siyo katibu mkuu.