Kuna nini kati ya tamisemi na wizara ya elimu?

Joined
Mar 5, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Mafahali wawili wakigombana..............

takribani wiki moja imeshapita tokea ajira za walimu zitangazwe,na kilichotokea ni kutokupangiwa vituo vya kazi kwa wahitimu wa St john-Dodoma campus...baada ya kufuatilia tamisemi wanasema chuo kilichelewa kupeleka majina ,pamoja na hayo majina waliyapokea nakuyapangia vituo na kuyatuma wizara ya elimu,ila wizara ya elimu inachelewa kuyarudisha ili tamisemi waonekane wazembe katika utendaji kazi..

Je kuna nini kati ya taasisi hizi mbili yaani kati ya tamisemi na wizara ya elimu?


INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO!:wave:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…