dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Hahaha hivi Dar ni wilaya eeh!Me sijui Mambo Yao watajuana wenyewe Niko zangu mkoa siko huko Dar
Asante mkuu..hapo itakuwa pouwa sanaHakuna kitu, hapa kati ulikuwa huwaoni pamoja sababu ilikuwa maslahi. Ringo aliona afanye kazi kivyake kwa muda kidogo but bahati mbaya zikabuma, ila now washarudi pamoja, new projects watakuwepo wote. Haya yote nimeyajua kutoka kwenye interview ya Mkojani katika kipindi cha empire EFM.
Napiga ela kupitia kazi zao .mkuu alafu siku iz umepanda viwango unakunywa bia?? Mbege umeacha lini? MkuuView attachment 1804150
Acha kufuatilia mambo yasiyo na faida kwako. Maisha ya watu wanaboreshaje maisha yako?
Unamkubali mbunge wako tu au sioSiwakubali kabisa hao wachekeshaji sijui kwanini! Anyway mambo yao waachie wenyewe!
SawaHapo hakuna wachekeshaji ni waropokaji tuu,
Bia ni taputapu la Kizungu, mi hata boxer sivai navaa manyoya ya mbuniNapiga ela kupitia kazi zao .mkuu alafu siku iz umepanda viwango unakunywa bia?? Mbege umeacha lini? Mkuu
Hahahaha..mitano tenaaaaa!!!!Bia ni taputapu la Kizungu, mi hata boxer sivai navaa manyoya ya mbuni