Kuna nini katika benki ya Twiga bancorp?

daud magigo

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
979
Reaction score
424
Mimi nafutilia kwa karibu sana utendaji kazi wa benki zenye sura halisi za kitanzania kwani ni una uhakika faida itayopatikana haitoki nje kama mabenki mengine.Kwa siku za karibuni baadhi ya huduma hii benki imeshindwa kuzifanya.

Kwa anayefahamu kuna tatizo gani katika benki yetu hii kipenzi si matawi ya Dar,Arusha au Mwanzabaadhi ya huduma zimesimamishwa kwa muda mrefu sasa.Au mmeruhusu wana siasa wetu kujichotea pesa nyingi wakashindwa kurejesha?
 
...nani amekwambia twiga ni benki ? haijafikia hadhi ya kuitwa benki ndo maana inaitwa bankorp....!
 
...nani amekwambia twiga ni benki ? haijafikia hadhi ya kuitwa benki ndo maana inaitwa bankorp....!
Duhh,JF noma,
Hahahaha,shule hapa inatakiwa,maana humu karibu watu kibao huiita kama Bank.
Tupe Darasa mkuu.Maana kuuliza sio ujinga,mie mwenyewe sijui tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…