Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
😭😭😭Kuna uzi ulishawahi kuletwa humu kuhusiana na eneo hilo, kwa mujibu wa mleta mada alisema eneo hilo kuna hazina kubwa sana ya madini imegunduliwa (dhahabu au almasi) sikumbuki vizuri. Yanasafirishwa kwenda nje ya nchi. Tanzania hatuna chetu hapo pashauzwa kitambo sana.
Hiyo ni kwamujibu wa mleta mada
Wameuza hilo eneo enzi hizi za mama?Kuna uzi ulishawahi kuletwa humu kuhusiana na eneo hilo, kwa mujibu wa mleta mada alisema eneo hilo kuna hazina kubwa sana ya madini imegunduliwa (dhahabu au almasi) sikumbuki vizuri. Yanasafirishwa kwenda nje ya nchi. Tanzania hatuna chetu hapo pashauzwa kitambo sana.
Hiyo ni kwamujibu wa mleta mada
Kwenye kipindi cha mama ndugu, kwakifupi hii ndio awamu mbaya kuliko awamu zote tulizowahi kupita kama nchi.Wameuza hilo eneo enzi hizi za mama?
Au ndiyo kipindi kile mama alikuwa anatoa mipasho kama kawaida yake kuhusu madini ya Serengeti pafukuliwe bila kuzingatia ecology na Serengeti ni urithi wa Dunia?
Ndiyo hapo?
Unajua maana ya ulinzi mkali bro?Du kwani msipige picha na drone Ili mjue Kuna nini, hata wazungu hawaruhusiwi kuingia
Ghala kilikoonyeshwa kwenye royal tour liko pale veta na si kule mkuuKuna Ghala la siri la serekali, huko ndiko pembe za ndovu/nyara za serekari hufichwa.
Lile jasusi lililokuja kurekodi sinema ya royal tour lilipelekwa mpaka huko.
Dah!!! Kmmke walaiKuna uzi ulishawahi kuletwa humu kuhusiana na eneo hilo, kwa mujibu wa mleta mada alisema eneo hilo kuna hazina kubwa sana ya madini imegunduliwa (dhahabu au almasi) sikumbuki vizuri. Yanasafirishwa kwenda nje ya nchi. Tanzania hatuna chetu hapo pashauzwa kitambo sana.
Hiyo ni kwamujibu wa mleta mada
We nae mnafiki tu, umeacha ku deal na guide na wenyeji wa hapo ama huko unakuja kusumbua watu humu..Sasa halafu mbona kama unawapangia watu Cha kujibu na ni kama una majibu tayari sema unapima upepo watu wanajua nini....Kwa kuweka sawa ni kwamba hili eneo lipo na nmelisikia toka enzi za raisi wa awamu ya tatu benjamin mkapa hvyo mnaoweka ajenga nyingine sijui za CCM au Chadema ama kumhusisha mama mnakhwa mnatoka nje ya mstari na kutaka kuzushia watu kwa malengo yenu binafsi.
Reason ya kuuliza ni kutaka kujua/kujifunza sababu kutengwa kwa eneo hilo ina onyesha ni ni for national security reason ambazo mpaka leo bado imekuwa siri.
Inshort ni eneo linalowezekana kuwa linalindwa kuliko eneo lolote Tanzania si mzungu wala mwarabu ama mswahili anaruhusuiwa kutia pua yake huko.
umemalizaWe nae mnafiki tu, umeacha ku deal na guide na wenyeji wa hapo ama huko unakuja kusumbua watu humu..Sasa halafu mbona kama unawapangia watu Cha kujibu na ni kama una majibu tayari sema unapima upepo watu wanajua nini....
Heheeh.....tunamwambia hivi, huo mtego aliotega atanasa yeye mwenyewe.....Wewe unajua sana sema unataka kujua kama na sisi tunajua
Acha uogs kijanaHeheeh.....tunamwambia hivi, huo mtego aliotega atanasa yeye mwenyewe.....
Nenda tena kaulize kwenda sehemu si kujua kila kitu kuhusiana na hyo sehemuSiyo kamba kweli hii!!
Nimefika Seronera mara kadhaa toka 2005 na sijawahi sikia hii kitu.
Picha za hiyo fensi uliyoiona wewe ipo wapi?