Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Unamaanisha pale walipouziwa waarabu kitalu Cha kichimba madini japo Sheria za uhifadhi zinakataza lakini kizimkazi kalazimisha? Ndiyo unauliza pale?
 
Yaani eneo hilo linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama wa taifa, na lina ulinzi mkali kuliko maeneo mengine yote nchini Tanzania? Mimi nadhani hatujui hata kile tunachokilinda, kwa kweli.
 
 
Ukiona mbuga zote za taifa, vijiji vyote vya ujamaa,Kambi zote za jeshi,shule kongwe za zamani, makanisa makongwe ya wakatoliki chini Pana hazina ya nchi.
Madini,malikale,nk.
Jiulize kwann wajanja wanajenga hotel za bei ghali mbugani mswahili ufiki ni only members tena toka nje ndo wateja then unakuta kuna hotel za fukweni bei kubwa mswahili hamudu.
Unazijua underground submarine hii Dunia ina michezo mingi sana,acha tu.
 
kuna nyara za sirikali; Rejea kafilm ka sa100 ka kuhamasisha utarii. Sasa nisiulizwe swali jingine sitajibu kama hao uliowauliza.
 
unashangaa ya serengeti wakati warusi wanaifumua nyerere national park upande wa namtumbo ruvuma huko hovyo hovyo
 
Ilo eneo lipo na lipo eneo la kaskazin mwa mbuga.
Eneo ilo sio Tanzania kuna Taifa kubwa la wavaa Kobasi wamelinunua kwa Dollar Trilion 980.
Kuna uwanja wa ndege mkubwa sana na ndege apo zinatua zile zisizoonekana kwa macho zinabeba Tembo,Twiga,kasongo na Nyati zinapeleka kwa wavaa kobasi
 
Wahusika wanakwambia hawajawahi kuona ndege wala helcopter kwenye eneo hilo iwe kwa kutua ama kupita karibu

Kwa hiyo kusema kuna watu sijui wanabeba wanyama ndani ya eneo hilo ama wanabeba madini ndani ya eneo hlo wenyeji wenyewe wanakataa.

Sababu ni eneo kubwa sana lenye ulinzi mkali mno na hakuna uwanja wa ndege wala barabara za magari zinazoingia eneo hilo.

Na baadhi ya waliofanya tafiti kuhusu eneo hilo wanakwambia hata kwenye google map au ukitumia satelite huna utakachokiona inshort ni hidden place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…