Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

Mkuu hilo eneo linaitwaje? tufungue code chapchap.
 
Kikwete kajenga na hotel kabisa huko
 
We nae mnafiki tu, umeacha ku deal na guide na wenyeji wa hapo ama huko unakuja kusumbua watu humu..Sasa halafu mbona kama unawapangia watu Cha kujibu na ni kama una majibu tayari sema unapima upepo watu wanajua nini....
Guide anaweza kuwa anaingia hifadhini na aapangiwa sehemu za kufika, na asijue kwa nini hafiki eneo flani
 
Siyo kamba kweli hii!!

Nimefika Seronera mara kadhaa toka 2005 na sijawahi sikia hii kitu.

Picha za hiyo fensi uliyoiona wewe ipo wapi?
Seronera ndiyo iko katikati ya hifadhi ya serengeti? Maana yenyewe iko mwishoni kuelekea kuimaliza hifadhi ya serengeti upande wa arusha
 
Seronera ndiyo iko katikati ya hifadhi ya serengeti? Maana yenyewe iko mwishoni kuelekea kuimaliza hifadhi ya serengeti upande wa arusha
Tumia akili!

Kama ipo mwishoni maana yake ninapita katikati hadi kuifikia.

Au wewe unajua nafika hapo nikitokea wapi?
 
Tumia akili!

Kama ipo mwishoni maana yake ninapita katikati hadi kuifikia.

Au wewe unajua nafika hapo nikitokea wapi?
Wewe ndo hujatumia akili maana umesema umefika seronera mara kadhaa hujawai sikia hiyo kitu, ndo nikakuuliza kwani seronera ndio katikati? Na fensi kwani alisema iko seronera? Ulikurupuka tu kwasababu unapitaga seronera.
 
Hapi zimehifadhiwa nyaraka za No Reform, No Election.
 
Kama ma guider hawakuwa na majibu hapa jukwaani hutaambulia kitu.Majibu wanayo Simba, Chui au tembo.
 
Haka kapicha kanaweza kutumika pia kwenye hii comment yako.
 

Attachments

  • 1749658907229.png
    903.4 KB · Views: 20
Jaribu kuingia google maps au earth ucheki aerial view uone kuna nini.

Kama unakumbuka maeneo uliyopita au karibu na eneo hilo husika.
 
Jana jioni nmekutana na jamaa yangu ambaye tulipotezana kwa muda fulani kama miaka 2 alikuwa anafanya kazi huko naye nilipomgusia swala hilo alinijibu haya japo alikiri kujua eneo helo lakini miaka yake yote 10 ya kazi hajawahi kuingia.

1. Kuna hifadhi nyingine kubwa ipo ambayo hutunzwa wanyama adimu kutoweka kama faru weusi na viumbe wengine na maeneo hayo yanaulinzi huo mkali na yameondolewa kwenye ramani sababu ya kuzuia ujangili na uvamizi.

2.uwepo wa uhifadhi mkubwa wa madini ambayo nchi kama nchi walikubaliana kutokuyachimba au kuuza kwa yeyote kwa kipindi cha miaka fulani.

3. Kuwepo kwa kambi za siri za ufundishaji wa mafunzo ya intelligence katika nchi.

All in all nkayakubali japo hakunijibu kiurefu akapokea simu flani na kujifanya yuko bussy na kutoweka kwenye mazngira yasiyoeleweka.

Hapo ndo nkapata uhakika wa atakayenijibu swali langu ni mtu aliyevaa mask au anayeplay as anonymous only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…