Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Aliyekuwa Mwamba wa Kuroga ni Kapombe ila Dogo Mwenda nae akampata Mtaalam HATARI kupitia Mchezaji Mmoja Mstaafu (ndani ya Simba SC) ambaye alimpiga Pini ya maana Kapombe hadi akawa anaumwa tu na kuhatarisha Namba yake Kikosini.Kupitia kipind Cha sportarena Cha wasafi fm mtangazaj Yusuf mkule amesema kunaonekana kuwa na sintofahamu kati ya wawil hao toka unyamani lakn hajasema tatizo nini
Mkuu leo nimeamini unajua habari nyingi za hivi vilabu vya kariakoo!!Aliyekuwa Mwamba wa Kuroga ni Kapombe ila Dogo Mwenda nae akampata Mtaalam HATARI kupitia Mchezaji Mmoja Mstaafu ( ndani ya Simba SC ) ambaye alimpiga Pini ya maana Kapombe hadi akawa anaumwa tu na kuhatarisha Namba yake Kikosini...
Shukrani Sana mkuu hiv huu uchawi hauwez kuwasaidia kwenda baran uropa kupata timu nzuri?Aliyekuwa Mwamba wa Kuroga ni Kapombe ila Dogo Mwenda nae akampata Mtaalam HATARI kupitia Mchezaji Mmoja Mstaafu ( ndani ya Simba SC ) ambaye alimpiga Pini ya maana Kapombe hadi akawa anaumwa tu na kuhatarisha Namba yake Kikosini...
Ndumba haivuki Bahari ila wakitaka Ndumba ziwabebe wakienda huko Mamtoni ( Ulaya ) Wawaige akina Drogba na Eto ambao iliwalazimu wawachukue Waganga wao wa Kienyeji kutoka Ivory Coast na Cameroon na kuwapangia Vyumba huko huko ambao waliwasaidia mno na Kuchuma Pesa nyingi ambazo zimewasaidia kuwa Matajiri walivyo sasa na Kuwekeza katika Miradi mbalimbali ya Biashara Ulimwenguni.Shukrani Sana mkuu hiv huu uchawi hauwez kuwasaidia kwenda baran uropa kupata timu nzuri?
Huyo kaalcohol s alishaenda had France na akarudi bongo
Kwa Habari / Taarifa yoyote kuhusu Soka ( Fabo ) la Tanzania hasa izihusuyo Klabu Kubwa Mbili za Simba na Yanga kuanzia kwa Wachezaji, Viongozi, Makocha, yaliyoko na yanayotarajiwa nifuatilie / nisome mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums kwani hakuna la Kunipita huko kwakuwa kwa 99.999% ni Watu huko ( Sources ) ambao hakuna wanalonificha japo mpaka leo kutokana na Kuniamini Kwao na ninavyojiweka hawajui kuwa waliyenae ndiyo GENTAMYCINE wa JamiiForums.Mkuu leo nimeamini unajua habari nyingi za hivi vilabu vya kariakoo!!