GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilichokishuhudia ni Mageti ya Kuingilia Kufungwa, Wafanyabiashara ( akina Mama Kutukanana ) na Walinzi, Kuhamishwa kutoka walikokuwa na kupelekwa mbali ambako pia kuna Watu wanaendelea na Shughuli zao.
Eneo la Ndani la Uwanja wa Tanganyika Packers Kukwanguliwa na Greda, Ujenzi wa Awali ukianza.
Upande mwingine kuna Mahema yanawekwa na kule upande wa Jengo lililoko Kanisa la Mtume Mwamposa na kwenyewe hakueleweki yaani ni Vurugu Vurugu tupu tu.
Mamlaka tafadhali nijibuni nijue.