GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtaji wa Mjasiriamali makini ( wa Kijamii na Kiimani ) huwa ni Upumbavu ( Upopoma ) wa kudumu walionao wanaomzunguka au hata Kumuamini pia.Mwamposa anakula tu hela za mikondoo anashindwa hata kujenga kanisa miaka yote
Mwenzake Gwajima anajikongoja na mjengo wake Ubungo.Mwamposa anakula tu hela za mikondoo anashindwa hata kujenga kanisa miaka yote
Arena gani tena?Arena imeanza rasmi
Za NHC au?Nyumba 2500 kujengwa hilo eneo
Asiame kwani eneo lake 🙄🙄Nasubili wale waliobisha kuwa Mwamposa haami hapo ili nitoe jibu langu mujarabu.
Samia House ProjectNilichokishuhudia ni Mageti ya Kuingilia Kufungwa, Wafanyabiashara ( akina Mama Kutukanana ) na Walinzi, Kuhamishwa kutoka walikokuwa na kupelekwa mbali ambako pia kuna Watu wanaendelea na Shughuli zao.
Eneo la Ndani la Uwanja wa Tanganyika Packers Kukwanguliwa na Greda, Ujenzi wa Awali ukianza.
Upande mwingine kuna Mahema yanawekwa na kule upande wa Jengo lililoko Kanisa la Mtume Mwamposa na kwenyewe hakueleweki yaani ni Vurugu Vurugu tupu tu.
Mamlaka tafadhali nijibuni nijue.