Kuna nini kuhusiana na herufi A na lugha ya kiswahili?

Kuna nini kuhusiana na herufi A na lugha ya kiswahili?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama.

Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana.

Kaka. Dada. Mama. Baba.

Chakula. Maisha....

Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
 
Because A is the first letter

Kila kitu kinaanza na A kama kupanga majina.yataanza ya A uwezi kuanzia B au C

Ukienda hospital,Emergency team hutumia formula ya ABCD... Kuaccess mgonjwa mfano A-Airways,B-Breathing,......

Ukienda kwa inginia au field mbalimbali wanatumia A

Simple A ndio mlango wa kutokea...
 
Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama.

Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana.

Kaka. Dada. Mama. Baba.

Chakula. Maisha....

Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
Kuku, uji, mchele, porini, mwizi, Togo, lindi, simiyu, morogoro, egypt, Morocco, congo nk
 
Back
Top Bottom