Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Wadau, mbona siku hizi nchi za jirani sizisikii zikitaja idadi ya madereva waliopimwa na kukutwa na virusi vya corona?
Tulizoea kusikia madereva 85 wamepimwa, waliokutwa positive ni 80,77 ni Watanzania, 1 Rwanda,1 Mganda,1 mcongo. Sasa hivi nina week sijasikia Rwanda wala Uganda wakitangaza, Zambia nao kimyaaa. Kuna nini?
Au ndo ule mkwara mkali uliopigwa na serikali ya Tanzania? Yaani kenya kafanywa kama mfano,wengine wakafyata mkia🤣😂