Kuna nini kwa majirani?

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
6,260
Reaction score
7,395
Wadau, mbona siku hizi nchi za jirani sizisikii zikitaja idadi ya madereva waliopimwa na kukutwa na virusi vya corona?

Tulizoea kusikia madereva 85 wamepimwa, waliokutwa positive ni 80,77 ni Watanzania, 1 Rwanda,1 Mganda,1 mcongo. Sasa hivi nina week sijasikia Rwanda wala Uganda wakitangaza, Zambia nao kimyaaa. Kuna nini?

Au ndo ule mkwara mkali uliopigwa na serikali ya Tanzania? Yaani kenya kafanywa kama mfano,wengine wakafyata mkia🤣😂
 
Unadhani kidume kikiongea Kuna mwanamke anaongea Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwamba ambae sera zake Trump kazihusudu

kilicho akilini kitumie
 
Cc UFIPA
 
Wangeendelea kutoa hizo taarifa zao za uongo wangekufa njaa.

Nchi kama kenya ili viwanda vyake vijiendeshe asilimia kubwa ya mali ghafi vinatoa Tanzania. Mfano viwanda vya juice, biscut, kusaga nafaka nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀👉👉👉Tatizo njaa wanaruka sarakasi na wakati wamejifunga taulo👏👏👏
 
Hapa wanachungulia tu wanajitafakari wataingia kwa gia gani huu uzi
 
Kuna vikenya vilikua vikibweka humu kwamba hatupangiwi, sijui vimepotelea wapi sivisikii tena
 
Unajua buana hili gonjwa ni jipya hakuna anayejua sana kila njia itumiwayo ni hypothesis na trial kuona labda ita work out, hakukuwa na sababu za kuanza kukashifu njia aliyoamua kutumia mtu fulani kwenye janga hili.

Sasa, leo Kenya wanataka kuondoa hiyo Curfew, na zile mbwembwe zao za kututenga na hao wenzao wa Uganda ngoja tuone nao kama watakaa Lockdown mwaka au wataachia.

Watanzania, serikali kama mmeamua njia yetu ndio hiyo basi wezesheni zaidi makampuni tuendelee na hizo kazi na uzalishaji ,labda ndio tutakuwa the real doner country[emoji23][emoji23] wao wako ndani sisi tunazalisha, na kama njia yetu itabuma fresh tuu yote ndio maisha [emoji3], maana WHO walisema tungeokotana kama mizoga kuanzia May ila bado.


Alexander
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…