Mbona Kama Hamuipendi Serikali Yetu ππLita5 ya futa la alizeti 18500 hapo bei ya kitetoni sijui dar itakua sh ngapi
Hali mbaya
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia JuaSasa atafutwa nani? Na sijui kama ni suluhisho kwakweli.
Mpaka Sasa Hivi Hatujapata Ufumbuzi Wa Bei Kuwa Juu Hasa Saruji, Utajua Mengine Ni Ujanjaujanja TuFafanua kidogo mkubwa
Hata mi nashangaa,,usikute hawa ni wachochezi hawa...Mbona Kama Hamuipendi Serikali Yetu ππ
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa πHata mi nashangaa,,usikute hawa ni wachochezi hawa...
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
Wakati Huu Watasema Mabeberu Hao
Ukiona bei iko juu, ujue supply ni ndogo kuliko demand. Hata waweke watu ndani haisaidii. Watafute ufumbuzi tu wa kuongeza cement kwenye sokoMpaka Sasa Hivi Hatujapata Ufumbuzi Wa Bei Kuwa Juu Hasa Saruji, Utajua Mengine Ni Ujanjaujanja Tu
Ndiyo Ukweli WenyeweUkiona bei iko juu, ujue supply ni ndogo kuliko demand. Hata waweke watu ndani haisaidii. Watafute ufumbuzi tu wa kuongeza cement kwenye soko
Kesho tutarajie ARVs kuuzwa kwa bei ya mkasi. Naomba Mungu hii isiwe kweli maana tutazika sana.